MKATABA WA
UTENDAKAZI
NAMBARI | HUDUMA | MAHITAJI YA HUDUMA | MALIPO | MUDA |
1. | Kuuliza | tembelea Kwa hiari | Bure | Dakika 30 |
2. | Uandikishaji wa wanafunzi | Kiwango cha chini cha sifa | Ksh. 500 | dakika 30 |
3. | Mafunzo | Usajili kwa kozi ipendezayo dhibitisho ya malipo hitajika Mahudhurio ya masomo kulingana na ratiba | inatofautiana | Kulingana na ratiba ya muhula |
4. | Mitihani ya ndani | Usajili kwa kozi ipendezayo dhibitisho ya malipo hitajika Mahudhurio ya masomo kulingana na ratiba | Bure | Wiki mbili |
5. | Mitihani ya nje | Usajili kwa kozi ipendezayo dhibitisho ya malipo hitajika Mahudhurio ya masomo kulingana na ratiba | Inatofautiana | Kulingana na ratiba ya baraza la mitihani |
6. | Utoaji wa cheti cha kitaaluma | Fomu ya kibali amboyo imejazwa itakikanavyo | Bure | dakika 20 |
7. | Huduma ya ushauri kwa kipindi | Kwa mwanafunzi ambaye amesajiliwa na mfanyi kazi | Bure | Saa moja |
8. | Utoaji wa kitambulisho cha chuo kwa wanafunzi | Kwa mwanafunzi ambaye amesajiliwa | KSh. 200 | Ndani ya siku 30 baada ya kusajiliwa |
9. | Utoaji wa risiti kwa malipo ya ada ya masomo | Kwa mwanafunzi ambaye amesajiliwa Risiti ya malipo kwenye benki | Bure | dakika 20 |
10. | Kuanzisha uhusiano | mazungumzo Kumbukumbu ya makubaliano Mabadilishano ya barua na kutembeleana | Bure | Siku 30 |
11. | Malipo kwa wauzaji | Ankara ambazo zimewekwa sahihi | Bure | siku 7 za kazi |
12. | mawasiliano | Barua zinazoingia | Bure | Siku 7 |
13. | mawasiliano | Simu zinazoingia | Bure | Mara moja |
Tuko na nia ya kupeana Huduma bora kwa heshima: Huduma/bidhaa yoyote ambayo haiendani na viwango vya utendakazi bora au afisa yoyote ambaye hajitolei kupeana Huduma bora aripotiwe kwa: | ||||
Mkuu wa chuo Kiminini Technical and Vocational College. S.L.P 542-30200, Kitale. Simu: 0759424048/0780510878 Barua pepe: kimininitvc@gmail.com | Kamati simamizi ya malalamishi ya umma S.L.P 20414-00200 Nairobi Simu : +254 (0)20 2270000/2303000 Barua pepe : complain@ombudsman.go.ke | |||
HUDUMA BORA NI HAKI YAKO |
Play Video
Press the button to Play the audio
CONTACTS
- O BOX 542 – 30200, Kitale.
- Mobile NO 1: 0759424048
- Mobile NO 2: 0780510878
- Email 1: info@kimininitechnical.ac.ke
- Email 2: kimininitvc@gmail.com